TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR IMEKAMILISHA KAZI YA UWEKAJI WAZI ORODHA YA WALIOKOSA SIFA

December 14, 2016  |   Latest News   |     |   0 Comment

Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar imewapongeza na kuwashukuru wananchi wa Zanzibar kwa kujitokeza katika kuangalia Orodha ya waliokosa sifa katika Daftari la kudumu la wapiga kura Kazi hiyo ilifanyika katika wilaya zote kumi na moja (11) za Zanzibar.

Kazi hiyo iliyochukuwa siku 7 kuanzia 5-12-2016, kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi ya Zanzibar hata hivyo

Zowezi hilo baada kukamilika kwa Mujibu wa Sheria ya Uchaguzi ya no  11, 1984 kinachofata ni kuwandowa wale wote ambao hawakuwa na pingamizi katika Orodha zilizobandikwa wilayani humo ili kuliweka daftari la kudumu la wapiga kura kuwa na watu ambao wanasifa zinazostahili kwa Mujibu wa Sheria

 

Related Posts

There is no related post.