Mhe.Jaji Mkuu Mstahafu HAMID MAHMOUD HAMID (kulia) akipeana mkono na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasia Congo Mhe. CORNEILLE NANGAA
Kiongozi wa kundi la waangalizi wa Uchaguzi wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji Mkuu Mstahafu HAMID MAHMOUD HAMID (kulia) akipeana mkono na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasia Congo Mhe. CORNEILLE NANGAA baada ya kumkabidhi ripoti ya awali ya Waangalizi(ECF-SADC MISSION) wa Uchaguzi uliofanyika tarehe 30/12/2018 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
TAMASHA LA 5 LA BIASHARA ZANZIBAR
Mkurugenzi wa Uchaguzi Tume ya Uchaguzi Zanzibar Ndugu THABIT IDAROUS FAINA (wa pili kutoka kulia) akiwa na Maafisa wake katika maonesho ya tano ya biashara ya kusherehekea miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR AKILA KIAPO.
Mhe.Jaji Mkuu Mstahafu HAMID MAHMOUD HAMID akila kiapo mbele ya Rais wa Zanziabr na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dr. Ali Mohammed Shein Ikulu Mjini Zanzibar.
MKURUGENZI WA UCHAGUZI TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR AKILA KIAPO
Ndug. Thabit Idarous Faina akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dr. Ali Mohammed Shein Ikulu Mjini Zanzibar

Elimu ya Mpiga kura

Tume ya uchaguzi ya Zanzibar inajukumu la kusimamia, kukuza na kuratibu elimu ya wapiga kura kwa mujibu wa sheria ya Uchaguzi Nam.4   soma zaidi>>>

Vituo vya Uandikishaji

Ukurasa upo katika Matengenezo

Uhakiki

Ukurasa upo katika Matengenezo

Mfumo wa Uchaguzi

Ukurasa upo katika Matengenezo

Habari na Matukio

Mafunzo ya wajumbe wa Nec na Zec

04 April 2019
Mafunzo ya wajumbe wa Nec na Zec

Wakufunzi wa mafunzo ya Wajumbe wa Tume za Uchaguzi NEC na ZEC wakisikiliza hotuba ya ufunguzi wa mafunzo hayo iliyotolewa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar Mhe. Jaji...

Waangalizi wa Uchaguzi kutoka Jukwaa la Tume za Uchaguzi za nchi za SADC (ECF-SADC MISSION)

04 April 2019
Waangalizi wa Uchaguzi kutoka Jukwaa la Tume za Uchaguzi za nchi za SADC (ECF-SADC MISSION)

Kiongozi wa kundi la Waangalizi wa Uchaguzi kutoka Jukwaa la Tume za Uchaguzi za nchi za SADC (ECF-SADC MISSION) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar Mhe....

ZEC YAANZA KUTOA MAFUNZO KUHUSU UANDIKISHAJI NA UHAKIKI WA TAARIFA ZA WAPIGA KURA

24 April 2019
ZEC YAANZA KUTOA MAFUNZO KUHUSU UANDIKISHAJI NA UHAKIKI WA TAARIFA ZA WAPIGA KURA

JAALA MAKAME HAJI - ZEC Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar inafanya kila jitihada kuhakikisha Elimu ya Wapiga Kura inamfikia kila Mwananchi Mjini na Vijijini ili kuhakikisha kila mwenye sifa anatumia...

Vituo vya uandikishaji

408

Vituo vya Kupiga Kura

1583

Waliojiandikisha

503196

Wawakilishi

86

Madiwani

111

 

 

Linki za Haraka


Mawasiliano Yetu


Tume ya Uchaguzi Zanzibar

S.L.P 1001 - Zanzibar, Tanzania.

Simu: +255 242231489

Nukushi: +255 242233828

Mitandao ya Kijamii