Tumia simu yako ya mkononi kujua kituo chako cha kujiandikisha, kituo cha kupiga kura pamoja na hali ya kadi yako kupitia mitandao yote ya simu ya mkononi.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar Mhe.Jaji Mkuu Mstaafu HAMID MAHMOUD HAMID akimkabidhi Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika Picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) na wajumbe sita pamoja na baadhi ya viongozi wa Taasisi mbalimbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) Agosti 28,2023 Ikulu Zanzibar.
MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR AKILA KIAPO.
Mhe.Jaji George Joseph Kazi akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dr. Hussein Ali Mwinyi Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akimuapisha Thabit Idarous Faina kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.
Makamo Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Mhe.Jaji Aziza Iddi Suwedi akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dr. Hussein Ali Mwinyi Ikulu Zanzibar.

Elimu ya Mpiga kura

Tume ya uchaguzi ya Zanzibar inajukumu la kusimamia, kukuza na kuratibu elimu ya wapiga kura kwa mujibu wa sheria ya Uchaguzi Nam.4   soma zaidi>>>

Vituo vya Uandikishaji

Maeneo ya kupigia kura katika majimbo mengi ya uchaguzi yamo katika majengo ya umma kama vile skuli, kumbi za kijamii au Ofisi za  Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Bofya hapa kupata orodha ya vituo vya kujiandikisha.

Mfumo wa Uchaguzi

Mfumo wa uchaguzi unaotumika katika kuchagua Rais, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Madiwani ni  wa mgombea anayepata kura nyingi kuwashinda wagombea wengine ndiye huwa mshindi

Soma zaidi >>>

Habari na Matukio.

TAHLISO WAISIFU ELIMU YA WAPIGA KUTOKA ZEC

12 April 2024
TAHLISO WAISIFU ELIMU YA WAPIGA KUTOKA ZEC

Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imepongezwa kwa utoaji wa Elimu ya Wapiga Kura kwa Taasisi mbali mbali jambo ambalo linakuza Demokrasia nchini. Pongezi hizo zimetolewa na viongozi wa Vyuo...

ZEC WAFUTARI NA WAGENI MBALIMBALI.

02 April 2024
ZEC WAFUTARI NA WAGENI MBALIMBALI.

Viongozi wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) na Wageni mbali mbali wakiwa kwenye futari iliyoandaliwa na Tume hiyo katika Afisi Kuu zilizopo Maisara,Mjini Unguja tarehe 30 Machi 2024.

ZEC YASHIRIKI UANGALIZI UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI TANZANIA BARA.

25 March 2024
ZEC YASHIRIKI UANGALIZI UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI TANZANIA BARA.

Maafisa Wilaya wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) wameshiriki katika uangalizi wa Uchaguzi Mdogo wa Udiwani kwa upande wa Tanzania Bara ambapo wagombea 127 kutoka vyama 18 vya siasa...

ZHSF YAFIKA ZEC

20 February 2024
ZHSF YAFIKA ZEC

Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar (ZHSF) imeendesha mafunzo ya siku moja ya kuwajenga uwezo na uelewa juu ya utoaji huduma wa Mfuko huo visiwani Zanzibar. Mafunzo hayo ya siku...

WANASIASA WAASWA KUACHA SIASA ZA CHUKI.

20 February 2024
WANASIASA WAASWA KUACHA SIASA ZA CHUKI.

Wanasiasa watakiwa kubadilika na kuwa wakweli ili kuepuka kuopotosha Umma Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Mhe.Jaji George J. Kazi amewataka Wanasiasa kubadilika na kuwa wakweli wanapoeleza shughuli...

ZEC YAANDIKISHA WAPIGA KURA WAPYA 57,883.

15 February 2024
ZEC YAANDIKISHA WAPIGA KURA WAPYA 57,883.

Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), imeandikisha jumla ya Wapiga Kura Wapya wapatao 57,883 katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa awamu ya kwanza. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa...

KAMATI YA BAJETI YAFIKA ZEC

24 January 2024
KAMATI YA BAJETI YAFIKA ZEC

Leo tarehe 24 Januari 2024 Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar Ndugu Thabit Idarous aliikaribisha Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi inayotathmini utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo na...

MWENYEKITI WA ZEC ATOA SHUKURANI KWA WADAU WA UCHAGUZI.

17 January 2024
MWENYEKITI WA ZEC ATOA SHUKURANI KWA WADAU WA UCHAGUZI.

Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar imemaliza zoezi la Uandikishaji Wapiga Kura Wapya kwa awamu ya kwanza na inatarajia kufanya zoezi la Uandikishaji kwa awamu ya pili kabla ya Uchaguzi Mkuu...

« »

MAFUNZO YA WAJUMBE WA NEC NA ZEC

Wakufunzi wa mafunzo ya Wajumbe wa Tume za Uchaguzi NEC na ZEC wakisikiliza hotuba ya ufunguzi wa mafunzo hayo iliyotolewa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar Mhe. Jaji Mkuu mtahafu HAMID MAHMOUD HAMID (hayupo pichani)

 

 

Vituo vya uandikishaji

407

Vituo vya Kupiga Kura

1412

Waliojiandikisha

566,352

Majimbo

50

Wadi

110

 

 

Mawasiliano Yetu


Tume ya Uchaguzi Zanzibar

S.L.P 1001 - Zanzibar, Tanzania.

Simu: +255 242231489

Nukushi: +255 242233828

Mitandao ya Kijamii