Dira (Vision)
  Kuwa ni Taasisi inayojitegemea na inayoheshimika;  yenye uwezo  wa kutosha wa kutoa huduma za 
  uchaguzi kwa welidi na ufanisi  ambayo italeta imani kwa wadau
 

 

Dhamira (Mission)

  Kutoa huduma za kiuchaguzi zinazoaminika kwa kufanya mapitio ya mipaka ya majimbo ya uchaguzi
   kwa wakati unaostahiki, Kuendeleza  Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, kuendesha elimu ya wapiga 
  kura na kukuza dhana ya ushirikishwaji wa wadau katika shughuli za uchaguzi.
 

 

Misingi ya Uwajibikaji (Core values)

  Misingi Mikuu ya utendaji ya Ofisi ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ni Uhuru, Heshima, Uadilifu,
   Uwazi, Uwajibikaji, Ukweli na Uweledi katika kufanikisha shughuli za Uchaguzi.
   
   
   
   

Mawasiliano Yetu


Tume ya Uchaguzi Zanzibar

S.L.P 1001 - Zanzibar, Tanzania.

Simu: +255 242231489

Nukushi: +255 242233828

Mitandao ya Kijamii