Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC),Mhe.Jaji George Joseph Kazi na Wajumbe sita akiwemo Mhe.Jaji Aziza Iddi Suwedi ambae ni Makamo Mwenyekiti wa Tume hiyo,Leo tarehe 11,Septemba,2023, wameanza ziara ya kutembelea Afisi ya Uchaguzi Pemba ambapo pia walitembelea Afisi ya Uchaguzi ya Wilaya ya Chakechake na Afisi ya Uchaguzi Wilaya ya Mkoani na kukagua majengo na baadhi ya maeneo yanayomilikiwa na Tume hiyo.
Katika ziara hiyo,ameambatana na Mkurugenzi wa Uchaguzi Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar Ndugu.Thabit Idarous Faina na Mratibu Afisi ya Tume ya Uchaguzi Pemba Ndugu.Ali Said na baadhi ya wakuu wa Kurugenzi na Divisheni za Tume hiyoMwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC),Mhe.Jaji George Joseph Kazi na Wajumbe sita akiwemo Mhe.Jaji Aziza Iddi Suwedi ambae ni Makamo Mwenyekiti wa Tume hiyo,Leo tarehe 11,Septemba,2023, wameanza ziara ya kutembelea Afisi ya Uchaguzi Pemba ambapo pia walitembelea Afisi ya Uchaguzi ya Wilaya ya Chakechake na Afisi ya Uchaguzi Wilaya ya Mkoani na kukagua majengo na baadhi ya maeneo yanayomilikiwa na Tume hiyo.