Waangalizi wa Uchaguzi kutoka Jukwaa la Tume za Uchaguzi za nchi za SADC (ECF-SADC MISSION)

Kiongozi wa kundi la Waangalizi wa Uchaguzi kutoka Jukwaa la Tume za Uchaguzi za nchi za SADC (ECF-SADC MISSION) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar Mhe. Jaji Mkuu Mstahafu HAMID MAHMOUD HAMID (kushoto mstari wa mwanzo) akiwa katika picha ya pamoja na waangalizi wenzake baada ya kukabidhi ripoti ya awali ya waangalizi wa Uchaguzi ECF-SADC MISSION kuhusu Uchaguzi wa Congo uliofanyika tarehe 30/12/2018

 

Linki za Haraka


Mawasiliano Yetu


Tume ya Uchaguzi Zanzibar

S.L.P 1001 - Zanzibar, Tanzania.

Simu: +255 242231489

Nukushi: +255 242233828

Mitandao ya Kijamii