Mhe.Jaji Mkuu Mstahafu HAMID MAHMOUD HAMID (kulia) akipeana mkono na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasia Congo Mhe. CORNEILLE NANGAA
Kiongozi wa kundi la waangalizi wa Uchaguzi wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji Mkuu Mstahafu HAMID MAHMOUD HAMID (kulia) akipeana mkono na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasia Congo Mhe. CORNEILLE NANGAA baada ya kumkabidhi ripoti ya awali ya Waangalizi(ECF-SADC MISSION) wa Uchaguzi uliofanyika tarehe 30/12/2018 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
TAMASHA LA 5 LA BIASHARA ZANZIBAR
Mkurugenzi wa Uchaguzi Tume ya Uchaguzi Zanzibar Ndugu THABIT IDAROUS FAINA (wa pili kutoka kulia) akiwa na Maafisa wake katika maonesho ya tano ya biashara ya kusherehekea miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR AKILA KIAPO.
Mhe.Jaji Mkuu Mstahafu HAMID MAHMOUD HAMID akila kiapo mbele ya Rais wa Zanziabr na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dr. Ali Mohammed Shein Ikulu Mjini Zanzibar.
MKURUGENZI WA UCHAGUZI TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR AKILA KIAPO
Ndug. Thabit Idarous Faina akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dr. Ali Mohammed Shein Ikulu Mjini Zanzibar

Elimu ya Mpiga kura

Tume ya uchaguzi ya Zanzibar inajukumu la kusimamia, kukuza na kuratibu elimu ya wapiga kura kwa mujibu wa sheria ya Uchaguzi Nam.4   soma zaidi>>>

Vituo vya Uandikishaji

Maeneo ya kupigia kura katika majimbo mengi ya uchaguzi yamo katika majengo ya umma kama vile skuli, kumbi za kijamii au Ofisi za  Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Bofya hapa kupata orodha ya vituo vya kujiandikisha.

Uhakiki

Kupitia Uhakiki, Mpiga kura ataweza kuhakiki taarifa zake na kuona kituo chake cha kupigia kura uchaguzi utakapokaribia.

 Bofya hapa kuhakiki taarifa za uandikishaji

Mfumo wa Uchaguzi

Mfumo wa uchaguzi unaotumika katika kuchagua Rais, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Madiwani ni  wa mgombea anayepata kura nyingi kuwashinda wagombea wengine ndiye huwa mshindi

Soma zaidi >>>

Habari na Matukio

MWENYEKITI ZEC AISHAURI ECONEC UWAKILISHI WA MAKUNDI MAALUM KATIKA MAMLAKA ZA KUTUNGA SHERIA

07 August 2019
MWENYEKITI ZEC AISHAURI ECONEC UWAKILISHI WA MAKUNDI MAALUM KATIKA MAMLAKA ZA KUTUNGA SHERIA

ABOUJA - NIGERIA Jaala Makame Haji- ZEC Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Mhe. Jaji Mkuu (Mst) Hamid Mahmoud Hamid ameushauri mtandao wa Tume za Uchaguzi za Nchi...

ZEC: KURA YA MAPEMA IPO KWA MUJIBU WA SHERIA YA TUME YA UCHAGUZI

07 August 2019
ZEC: KURA YA MAPEMA IPO KWA MUJIBU WA SHERIA YA TUME YA UCHAGUZI

Jaala Makame Haji - ZEC Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imesema kuwa itahakikisha inafuata misingi ya uwazi na kuwashirikisha wadau wa Uchaguzi katika kuendesha kura ya mapema ambayo itafanyika...

ZEC INAENDELEA KUTOA ELIMU YA WAPIGA KURA KWA SKULI ZOTE ZA SEKONDARI.

11 July 2019
ZEC INAENDELEA KUTOA ELIMU YA WAPIGA KURA KWA SKULI ZOTE ZA SEKONDARI.

Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) inaendelea kutoa Elimu ya Wapiga Kura kuhusu uandikishaji wa wapiga kura wapya na uhakiki wa taarifa za Wapiga kura waliomo katika Daftari la kudumu...

WANAFUNZI WILAYA YA MAGHARIBI "A" WAMESIFU JUHUDI ZA ZEC

02 May 2019
WANAFUNZI WILAYA YA MAGHARIBI "A" WAMESIFU JUHUDI ZA ZEC

JAALA MAKAME HAJI- ZEC Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar imewaomba Wapiga Kura waliomo ndani ya Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kufanya maandalizi ya mapema kwa ajili ya kuhakiki taarifa...

ZEC YAANZA KUTOA MAFUNZO KUHUSU UANDIKISHAJI NA UHAKIKI WA TAARIFA ZA WAPIGA KURA

24 April 2019
ZEC YAANZA KUTOA MAFUNZO KUHUSU UANDIKISHAJI NA UHAKIKI WA TAARIFA ZA WAPIGA KURA

JAALA MAKAME HAJI - ZEC Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar inafanya kila jitihada kuhakikisha Elimu ya Wapiga Kura inamfikia kila Mwananchi Mjini na Vijijini ili kuhakikisha kila mwenye sifa anatumia...

MAFUNZO YA WAJUMBE WA NEC NA ZEC

04 April 2019
MAFUNZO YA WAJUMBE WA NEC NA ZEC

Wakufunzi wa mafunzo ya Wajumbe wa Tume za Uchaguzi NEC na ZEC wakisikiliza hotuba ya ufunguzi wa mafunzo hayo iliyotolewa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar Mhe. Jaji...

« »

Vituo vya uandikishaji

408

Vituo vya Kupiga Kura

1583

Waliojiandikisha

503196

Wawakilishi

86

Madiwani

111

 

 

Mawasiliano Yetu


Tume ya Uchaguzi Zanzibar

S.L.P 1001 - Zanzibar, Tanzania.

Simu: +255 242231489

Nukushi: +255 242233828

Mitandao ya Kijamii